Ticker

6/recent/ticker-posts

JINSI YA KUPAMBANA NA UGONJWA WA KISUKARI

 

JINSI YA KUPAMBANA NA UGONJWA HATARI WA KISUKARI.


Mwili unahitaji nguvu na uwezo wa kufanya kazi, nguvu hii husababishwa na glucose iliyopo ndani ya mwili. glucose ni aina ya sukari ambayo hupatikana kwenye vyakula vya wanga.

Mwili hauwezi kutumia glucose bila ya insulin. Insulin ni homoni ambayo inatengenezwa kwenye kongosho. Hii inakazi ya kudhibiti kiwango cha glucose ndani ya mwili. Yaani wakati kwenye damu kukiwa na glucose nyingi insulini huletwa ili kuipunguza na ikiwa ni kidogo insulin hailetwi.

Ikitokea mwili hauna uwezo wa kuzalisha insulini ya kutosheleza mwilini au seli zinashindwa kutumia insulini inayozalishwa hapa kisukari hutokea. Yaani mwili utashindwa kudhibiti kiwango cha glucose.

Katika hali hii seli zitashindwa kupata glucose hivyo kusababisha damu kuwa na glucose nyingi na hivyo figo hutowa maji mengi na kusababisha kukojoa mara kwa mara.

Katika hali hii tumesema kuwa glucose ni aina ya sukari ambayo inahitajika kwa ajili ya kupata nguvu na uwezo wa kufanya kazi (energy) hivyo mwili utatumia fat na protin kujitengenezea energy hivyo kupelekea kuzalisha sumu ndani ya mwli. Na hali hii ikiendelea mtu aanweza kupoteza fahamu na hali hii huitwa diabetic coma.

AINA ZA KISUKARI


1.TYPE 1 Diabetes; aina hii huotokea wakati mfumo wa kinga mwilini (immune system) unaposhambulia seli zinazozalisha insulin katika kingosho. Seli hizi zinaposhambuliwa mwili utashindwa kuzalisha insulin. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa aina hii ya kisukari husababishwa na virusi pamoja na kurithi kutoka kwa wazazi.

Aina hii ya kisukari pia huitwa insulin-dependent au juvenile diabees. Hii hutibiwa kwa kutumia dawa na mara nyingi huweza kuonekana kabla ya miaka 18. Dalili za aina hii ni za hatari sana na hutokea kwa ghafla. Miongoni mwazo ni kiu kikali, kuchoka sana na kupunguwa uzito.

2.TYPE 2 Diabetes; pia aina hii huitwa noninsulin-dependent diabetes na mara nyingi huwapata watu wenye umri wa kuanzia miaka 40 na wale watu ambao wana uzito wa kuzidi.

Katika aina hii ya kisukari mwili unazalisha insulin lakini seli zinashindwa kuitumia insulin inayozaliwa. Miongoni mwa dalili zake ni kukojoakojoa, kiu kikali, kutokuona kwa ufasaha, kuchelewa kupona kwa majeraha na maambukizi ya mara kwa mara.

CHANZO CHA KUTOKEA KWA AINA HII YA SUKARI.


  1. Ulevi hasa wa pombe kali
  2. Uvutaji wa sigara
  3. Matumizi ya madawa makali hasa antibiotic.
  4. Ulaji mbovu hasa mafuta mengi na vyakula vya kiwandani vyenye kemikali.
  5. Magonjwa mengine, kama vile:, Moyo, Kiharusi, figo kufeli.
  6. Mishipa ya fahamu kushindwa kufanya kazi vizuri

DALILI ZA KISUKARI.


  1. Kuhisi kiu sana
  2. Mdomo kuwa mkavu sana
  3. Matatizo ya ngozi na njia za mkojo.
  4. Kiungulia na kichefu chefu kikali.
  5. Kukojoa mara kwa mara
  6. Kuhisi njaa kila wakati
  7. Mwili kukosa nguvu
  8. Jasho sana hasa nyakati za usiku.
  9. Kushindwa kujiamini
  10. Mkojo kunatanata na kufuatwa na sisimizi.

3.GESTATION Diabetes; hii huwatokea sana wajawazito mwishoni mwa mimba na hupotea baada ya mtoto kuzaliwa. Hii huweza kuongeza hatari wakati wa kijifungua na kama mama amerithi kisukari kutoka kwa wazazi hali inaweza kuwa mbaya zaid. Dalili zake ni sawa na zile za hizo aina mbili hapo juu.

NAMNA YA KUPAMBANA NA KISUKARI.


Muhimu kuepuka vyakula na vinywaji vya sukari vilivyochakatwa, na kuachana na vyakula kama mkate mweupe.

Sukari iliyosafishwa na nafaka zilizo kobolewa zinakuwa na virutubishi vichache kwa sababu sehemu zenye nyuzi, zenye vitamini nyingi zinakuwa zimeondolewa.

Mifano ni pamoja na unga mweupe, mkate mweupe, wali mweupe, tambi nyeupe, maandazi, vinywaji vya sukari/sukari, peremende, na vitafunwa kama maandazi, chapati n.k, zilizoongezwa sukari.

Lishe nzuri yenye afya ni pamoja na mboga mboga, za majani, matunda, maharage na nafaka nzima. Pia inajumuisha mafuta yenye afya, karanga na samaki wenye mafuta mengi ya omega-3. Ni muhimu kula mara kwa mara na kuacha kula wakati umeshiba.

Mazoezi ya mwili pia yanaweza kusaidia kupunguza viwango vyako vya sukari kwenye damu. Unaweza jiwekea ratiba ya kufanya mazoezi kwa wiki, japo mara 2 ya kufanya mazoezi yasiyopungua masaa 2 ambayo yanaweza kujumuisha kutembea haraka na kupanda ngazi.

1) hakikisha una uzito wa kawaida.
2) Wacha kutumia bidhaa za tumbaku na pombe kali.
3) Punguza misongo ya mawazo.
4) Fanya mazoezi ya mara kwa mara.
5) Kula mlo kamili wa asili.

MADHARA YA KISUKARI.


Madhara ya ugonjwa wa kisukari upofu, figo kushindwa kufanya kazi, mshtuko wa moyo, kiharusi na kukatwa viungo vya chini vya miguu.

MATIBABU YA KUDUMU.


Ndugu rafiki unaesumbuka na kuhangaika na ugonjwa wa kisukari nataka nikwambie kwamba kisukari type 1 hakina usumbufu wowote wenye kero endapo utafuatilia maelekezo hapo juu na kuyafanyia kazi vizuri.

Kisukari Type 2 ni kisukari kinacho tibika kabisa kama utawahi kuanza tiba kabla athali hazija fika kiwango kikubwa ukichelewa kuanza tiba inaweza kuhatarisha maisha ama kukufanya uishi na ulemavu.

3.GESTATION Diabetes hii ni rahisi zaidi na haihitaji kutumia dawa kutokana na hali ya ugonjwa huu unaisha wenyewe baada ya kujifungua.

Sasa kama wewe una sukari type 2 na bado haujafanikiwa kupata matibabu sahihi ya ugonjwa wa sukari hakikisha unachukua hatua sasahivi piga simu kawaida ama kutuma ujumbe mfupi whatsApp kupitia namba 0658091941 upate suluhisho haraka.

Tiba hii Dozi inapatikana kwa Tz.sh 450,000/=laki nne na hamsini tu! Na ni Dozi ya siku 90 lakini baada ya kuanza dozi siku 30 za mwanzo utaruhusiwa kutumia vyakula aina zote kasoro vilevi na tumbaku.

Napatikana Tunduma mpakani mkoa wa songwe kwa wale mliopo mikoa ya mbali natuma kupitia mabasi ya mkoa na inakufikia mpaka ulipo kwa uaminifu mkubwa kwa Afya bora Tanzania.

Kwa maswali na ushauri zaidi coment hapa chini ili kujiridhisha na majibu ya maswali yako na kukata kiu yako zaidi.


Chapisha Maoni

0 Maoni