SABABU 5 ZA UGUMBA KWA MWANAUME NA TIBA YAKE.
_____________________________________________
Wanaume wengi hunyamaza wakati wanapoanza kuathiriwa na tatizo la kushindwa kutekeleza wajibu wao katika ndoa ikiwemo tatizo la kushindwa kushiriki tendo la ndoa.
Hivyobasi mara nyingi hulazimika kujiondolea lawama hiyo na badala yake kusema kwamba kizazi cha wake zao ndicho chenye tatizo.
JE UMEWAHI KUKUMBANA NA HALI KAMA HIYO?
_____________________________________________
Utafiti umeonesha kwamba wanaume wenye umri kati ya miaka 18 hadi 35 ni asilimia 15 ya idadi ya watu.
Vilevile wanaume wenye zaidi ya umri wa miaka 40 ni asilimia 40 ya wale wasioweza kuwatosheleza wake zao kindoa kutokana na tatizo linaloathiri sehemu zao za siri. (uume kushindwa) kushiliki vyema tendo la ndoa.
Hali hiyo humfanya mwanaume kuhisi kukejeliwa na jamii inayo mzunguka na kufahamu zaidi kuhusu hali anayoipitia mwanaume huyo.
Mwanaume au mwanamke aliye katika hali hiyo pia anaweza kukejeliwa au kupokea shutuma chungu nzima kutoka kwa jamii iwapo siri yake itajulikana nyumbani ama mahala popote pale.
Kutokana na hilo wanaume ambao wapo katika hali hiyo ya kiafya hupendelea sana kutoshiriki katika mjadala kuhusu suala hilo kwasababu hujihisi kukatishwa tamaa.
Upungufu wa nguvu za kiume na athari za matumizi ya mitishamba isiyoidhinishwa kisayansi.
Kunapotokea hali kama hiyo , magonjwa mengine pia huanza kumwathiri mwanaume kama huyo na mara nyingi huogopa kushiriki na wake zao katika tendo la ndoa.
Na iwapo mwanaume anashindwa kutekeleza wajibu wake nyumbani, humfanya mke wake kuanza kumshuku na hivyobasi kusababisha kuzuka kwa ugomvi wa mara kwa mara bila sababu.
JE INA MAANA GANI MWANAUME KUSHINDWA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA?
_____________________________________________
Hali ya maumbile nyeti kushindwa kuwa tayari, kwa kitaalamu Erectile dysfunction (ED) ni wakati ambapo mwanaume hawezi kushiriki katika tendo la ndoa kwa dakika 15 mfululizo.
Utafiti umeonesha kwamba iwapo mwanaume ana uwezo wa kushiriki katika tendo la ndoa, sehemu yake ya siri huonesha mihemko nyakati za alfajiri anapoamka.
Lakini iwapo sehemu ya siri ya mwanaume haina mihemko, au iwapo hawezi kushiriki katika tendo la ndoa basi huenda yeye ana tatizo la ugumba.
SABABU KUU 5 ZINAZO SABABISHA TATIZO HII
_____________________________________________
1.UKOSEFU WA HOMONI ZA KIUME ZA KUTOSHA MWILINI:
_____________________________________________
Testosterone ni homoni za kiume zinazowafanya wanaume kuhisi kuwa wanaume huku estrogen zikiwa homoni za kike ambazo humsaidia mwanamke kupata ujauzito .
Kama wanaume, viwango vya homoni za oestrogen katika mwili wa mwanamke hupungua wakati mwanamke anapofikisha umri wa miaka 50.
Wanaume wengi hunyamaza wakati wanapoanza kuathiriwa na tatizo la kushindwa kutekeleza wajibu wao katika ndoa ikiwemo tatizo la kushiriki katika tendo la ndoa.
Kwa upande wa wanaume viwango vya homoni za kiume havipungui , lakini hukabiliwa na changamoto ambazo mara nyingi hupuuzwa.
2.MSONGO WA MAWAZO:
_____________________________________________
Shinikizo la kiakili ni miongoni mwa sababu kuu zinazosababisha ugumba miongoni mwa wanaume.
Msongo wa mawazo unaweza kutokea iwapo mwanaume hana kazi, iwapo mwanaume hana fedha ama iwapo kuna changamoto katika ndoa yake ama kutoka kokote kule.
Dalili hizi ni tofauti na zile za kufanya mazoezi , kwasababu mazoezi husaidia moyo kusukuma damu vyema katika misuli muhimu.
Sonona husababishwa na kuganda kwa damu kila mahali mwilini.
3.KUSHIRIKI MAZOEZI MBALI NA TENDO LA NDOA MARA KWA MARA:
_____________________________________________
Hili ni suala linalohitaji msisitizo ili kuzuia ugumba. Mtu anapaswa kujifunza kufanya mazoezi kwa muda mfupi kila siku.
JE UNAFAHAMU NI MAZOEZI YA AINA GANI HUFAA ZAIDI.
_____________________________________________
Mazoezi ambayo huwa nawashauri wagonjwa wangu kuyafanya ni kushiriki katika tendo la ndoa mara kwa mara.
Na kuna utafiti unaothibitisha hili, ambao naweza kusema kwamba ni ushahidi ulio sahihi.
4.UNYANYASAJI WA KINGONO:
_____________________________________________
Nawashauri wanaume kushiriki katika tendo la ndoa mara 21 kwa mwezi . Inadaiwa kwamba kushiriki katika tendo la ndoa mara kwa mara kunasaidia kuzuia saratani ya tezi dume.
5.UKOSEFU WA MAJI SAFI MWILINI.
_____________________________________________
Suala hili linaonekana kama la kushangaza kwa watu wengi,
Ukosefu wa maji safi mwilini, ambayo hayana virutubisho sahihi, huathiri afya ya uzazi kwa wanaume.
JINSI YA KUJILINDA NA TATIZO HILI KWA KUTUMIA LISHE.
_____________________________________________
Matatizo yahusianayo na nguvu za kiume na kukosa hamu ya tendo la ndoa huweza kuchangiwa sana na mpangilio mbovu wa vyakula pamoja na saikolojia ya mtu.
Ni vyema kujiweka tayari kisaikolojia kabla ya kushiriki tendo la ndoa. Kwa upande wa vyakula ni vyema kuchaguwa vyakula vilivyo salama kwa afya. Vyakula vyenye mafuta kupitiliza vinaweza kuleta athari mbaya kwa afya ya nguvu za kiume. Katika makala hii nitakuletea vyakula vitano ambavyo husaidia katika kuongeza hamu ya kushiriki tendo la ndoa: Vyakula hivyo ni:
1. VYAKULA
_____________________________________________
Vyakula vyenye arginine . Vyakula hivi vina ni vyakula vyenye chembechembe itambulikayo kama arginine. Ndani ya miili yetu arginine huweza kubadilishwa kuwa oxide ya nitric (nitric oxide). Arginine ni chembechembe za asidi ya amono (amino acid). vyakula vyenvye arginine ni kama maharage ya soya, mbegu za maboga, karanga, korosho, samaki, nyama, kuku na samaki.
Arginine imafaida nyingi sana mwilini. Chembechembe hii huweza kutibu tatizo la kusinyaa kwa uume kabla ya kumwaga, ama kusinyaa mapema, ama kugoma kabisa kusiama. Kama tatizo hili linahusiana na mishipa ya damua kama kuziba kwa mishiba ya damu basi arginine ni msaada mkubwa. Pia husaidia kuimarisha afya kwa wenye kisukari na wenye maradhi ya moyo hususani yanayohusiana na mishipa ya damu kama kujaa mafuta ama kuziba.
2. VYAKULA
_____________________________________________
Vyakula vyenye phytochemical:
vyakula hivi ni kama maepo (apples),mboga za apricots, broccoli, Brussels sprouts, kabichi (cabbage), karoto (carrots), cauliflower, kitunguu thaumu (garlic), mimea jamii ya kunde (legumes), kitunguu maji (onion), pilipili kali (red peppers), maharage ya soya (soybeans), viazi vitamu (sweet potatoes), na nyanya (tomatoes).
3. VYAKULA
____________________________________________
Vyakula vya fati iliyo salama kwa afya ya moyo. Afya ya moyo huchukuwa nafasi kubwa katika tendo la ndoa. Uzima wa moyo huweza kufanya damu kutembea vyama maeneo yote ya mwili hususani maeneo yanayohusika katika tendo la ndoa.
Miongoni mwa vyakula hivi ni palachichi. Ndani ya palachichi kuna fat, vitamini B6 asidi ya folik (folic acid) kwa hamoja hizi husaidia kuongeza nishati mwilini na kuimarisha afya katika kushiriki tendo la ndoa. Vyakula vingine ni kama aina flani ya samaki, mayai, mbegu za chia, chokleti, bidhaa za maziwa kama siagi n.k
4. VYAKULA
_____________________________________________
Vyakula vyenye citrulline aina ya asidi za amini (amino acid): hii ni chembechembe inayopatikana kwenye vyakula hivi, mwili hubadilisha chembechembe hii ni kuwa arginine. Faida za arginine tumeshaziona hapo juu. Chemikali hizi pia husaidia katika kuufanya mwili uweze kuwa shwari (relax) kama vile viagra inavyofanya kazi.
Miongoni mwa vyakula hivi ni tikitimaji. Tunda hili lina citrulline kwa wingi sana tofauti na matunda mengi. Vyakula vingine ni kama maboga, matang n.k. citrulline pia husaidia katika kutanua misuli na kuboresha mishipa ya damu kufanya kazi vyema hivyo ni nzuri kwa wanaofanya mazoezi. Kwa upande wa afya ya tendo la ndoa husaidia katika kupeleka damu kwenye maeneo nyeti.
5. VYAKULA.
_____________________________________________
Vyakula vyenye Indole-3-carbinol: hii husaidia katika kuboresha homoni hasa kwa wanaume. Huweza kupatikana kwenye mboga za majani kama kabichi, broccoli na mboga nyinginezo. Tofauti na faida hizi pia huweza kusaidia katika kuzuia na kupunguza athari za saratani ya matiti, tumbo, na nyinginezo.
USHAURI NA TIBA YA TATIZO
___________________________________________
Kwa yeyote mwenye tatizo hili la kushindwa kushiriki tendo vizuri na kukizi haja za mwenzawako hii inakuhusu nikushauri tu kwamba uwezekano wa kurudisha heshima ya uumewako upo tena siyo kwa kutafta madawa yasiyo sibitishwa kikamilifu na viwango vya ukaguzi na mamlaka za Dawa mbadala.
Tumia dawa yenye mkusanyiko wa aina mbalimbali ya viinilishe ili kujikwamua na changamoto hiyo bila kukuachia madhara yoyote ki-Afya.
Xpower man ni tiba ya kuimarisha misuri ya uume kuongeza uwezo na uwingi wa kiwango cha mbegu za kiume, inaongeza hamu ya kushiriki tendo zaidi ya mara 3 bila kuchoka, inafungua mishipa midogo ya damu inayopeleka damu kwenye uume na kukausha mafuta mabaya kwenye uume,
Imehifadhiwa kwa mfumo wa vidonge na imethibitishwa kikamilifu na shilika la afya na ukaguzi wa tiba asilia.
Napatikana Tunduma mpakani mkoa mpya wa Songwe kwa wale wa mikoa ya mbali natuma kupitia mabasi ya mkoa na inakufikia mpaka ulipo kwa uaminifu mkubwa wa afya bora Tanzania DR. SANI MLAWIZI.
_____________________________________________
0 Maoni