Ticker

6/recent/ticker-posts

ZINGATIA MAMBO HAYA 5 WAKATI WA KUTAFTA UJAUZITO.


 ZINGATIA MAMBO HAYA 5 WAKATI WA KUTAFTA UJAUZITO.


Kama umeishi zaidi ya mwaka 1 kwenye ndoa na bado hujapata mimba, ujue wazi kwamba ujumbe huu unakuhusu.


 Fuata hatua hizi 5 ubebe UJAUZITO.


1/. Hakikisha unafaham vizuri namna ya kuhesabu mzunguko wako was hedhi.


2/. Hakikisha umejiandaa kuitwa mama na kumlea mtotowako.


3/.  Hakikisha una afya njema katika mfumo mzima wa uzazi.


4/ .Hakikisha unakula aina mbalimbali za vyakula vyenye protin madini vitamin za kutosha kabla ya kubeba mimba.


5/ .Hakikisha homoni za uzazi zipo katika mpangilio mzuri.


Kama tayari yote hayo yamefanyiwa kazi sasa unaweza kutarajia UJAUZITO  baada ya mda mfupi.


Kama bado hujui changamoto inayo sababisha kuchelewa kubeba mimba, usijari nipo kwaajili ya kukusaidia.


Nifuate WhatsApp ujisogeze karibu na huduma kwa kubonyeza neno  HUDUMA.

Chapisha Maoni

0 Maoni