Ticker

6/recent/ticker-posts

HIVI NDIVYO UGONJWA WA KISUKARI ULIVYO KUWA UKIMTESA MR.JAPHET.


HIVI NDIVYO UGONJWA WA KISUKARI ULIVYO MTESA MR. JAPHET.


Ilianza kama utani baada ya Mr.JAPHET kutoka kazini kwake, na kuelekea nyumbani.


Mala tu,baada ya kufika nyumbani alianza kuhisi baridi kali mwilini mwake.


Na kuishiwa nguvu polepole huku jasho likimtililika kwa kasi.


Nakumbuka ilikuwa ni majira ya saa mbili usiku kabla ya kula chakula cha usiku.


Baada ya Mr JAPHET kupatwa na hali hiyo mkewake aliamua kutoa taarifa kwa ndugu jamaa na marafiki ili kumpatia msaada wa haraka.


Hivyo majirani walifika mapema zaidi na kumsaidia kumfikisha HOSPITAL Mr JAPHET. Wengi walidhani kalogwa kutokana na hali iliyojitokeza ya ghafra.


Baada ya DAKTARI kumfanyia vipimo aligundulika SUKARI imepanda kwa kiwango cha juu sana.


Ilikuwa ni 11.5 kitu ambacho ilimlazimu Mr JAPHET kulazwa hapo kwaajili ya huduma. Siku mbili baadae Mr JAPHET alionekana kupata unafuu na kuruhusiwa kuludi nyumbani.


Alipoludi nyumbani alionekana kuludi haliyake ya kawaida. Lakini ndani ya siku 3 baadae hali ililejea kuwa mbaya zaidi kuliko hata ile ya mwanzo.


Aliludishwa tena HOSPITAL  na kufanya tena vipimopamoja na kumtundikia drip la maji. Maana alionekana kuishiwa zaidi maji mwilini. Hivyo alilazwa tena na kumpatia matibabu angalau SUKARI ishuke.


Wiki mbili baadae alilejea nyumbani akiwa na unafuu lakini alionekana kukonda kwa kasi kilammoja alimshangaa! Kwajinsi alivyo. Hata baada ya mwezi 1 Mr JAPHET alionekana kupungua kwa kasi kubwa zaidi na hali iliendelea mala kwa mala ikijiludialudia.


DAKTARI alimshauri afanye mazoezi astumie vinywaji vyenye SUKARI pia vyakula vyenye chumvi na mafuta.


Arishauriwa atumie zaidi aina za vyakula asilia vyenye uwezo wa kumsaidia kupambana na kushusha SUKARI.


Huku akiendelea na baadhi ya dawa alizo pewa HOSPITAL.

Chakushangaza ni kwamba, pamoja na kufuata mashert yote aliyopewa na daktari, bado hali iliendelea kuwa mbaya zaidi.


Aliendelea kuteseka zaidi ya miaka 3 na kufikia kukata tamaa kabisa.


Je unataka kujua nini kiliendelea baadae?

Twende pamoja tumalizie story hii pamoja.


Sikumoja nikiwa katika mizunguko yangu kutembelea mgonjwa katika HOSPITAL moja ya luffa mkoani MBEYA.

Ndipo nilipo kutana na mr japhet akiwa ni mwenye mawazo mengi sana.

Nilimsalimia zaidi ya mala 3 lakini hakuniskia nikaamua kumsogelea karibu na kumgusa. Alionekana kushtuka sana nilipomgusa kutokana alikua mbali kimawazo.


Alianza kwa kunipa full story ya ugonjwa wake mpaka alipofikia. Alisimlia kwa machungu huku machozi yakimtiririka na kusema nimechoka sasa.


Nilivuta pumnzi kwa nguvu na nikatulia kama sekunde 30 kisha nikaanza kwa kumpa pole. Nilianza kwa kumpatia ushauri asikate tamaa pia kumpatia tumaini la kupona kabisa. Alionekana kupinga kabisa swala hili. Lakini baadae nilimhakikishia kwa kumpatia shuhuda za watu waliopona tatizo hilo kidogo alianza kujenga imani.


Mwisho nilimshauli atumie tiba kutoka kwangu na ni DOZI ya miezi 3 yani siku 90 atakuwa amepona kabisa.


Kutokana na muda alioteseka wa zaidi ya miaka 3 hii haikuwa ngumu kwake kukubaliana nami. Alikubali na kuomba kuanza DOZI malamoja.


Nilimpatia DOZI ya mwezi mmoja  ya kwanza. Baadaa ya mwezi kupita nilipanga kumtembelea nyumbani kwake.


Siku hiyo nilimkuta na mabadiliko makubwa kiasi kwamba hata yeye mwenyewe alikuwa akijishangaa.


Alikuwa ni mwenye kulejesha afya yake kwa 50% pia hajiskii vibaya tena kama ilivyo kuwa hapo awali.


Nilimshauri kuendelea na DOZI  mpaka mwisho na nikamachia DOZI ya mwezi 1 tena. Aliendelea na DOZI yake ya mwisho nilimuomba akafanye vipimo.


Alipomaliza DOZI yake ya mwisho alienda kufanya vipimo. Majibu ya daktari yalionekana ni 6.5 alitoka akiwa na furaha zaidi siku hiyo. Mpaka sasa amekuwa shuhuda kwa wengine.


Yawezekana nawewe ni mmoja kati ya wenye kuteseka na ugonjwa huu wa KISUKARI. Hii ni kweli kisukari kinapona kabisa tena kwa siku 90 tu!.


Nawewe nikushauri ufanye moyo wako kuwa kama wa Mr JAPHET. 


Chukua hatua anza na mimi kwa kupiga simu namba 0658091941 upate kuludi tena kuijenga jamii na kulinda familly yako.


Unaweza kupiga simu ama kutuma ujumbe mfupi whatsApp wenye neno KISUKARI.

Chapisha Maoni

0 Maoni