Ticker

6/recent/ticker-posts

HOMA YA INI CHANZO DALILI NA TIBA YAKE

 


HOMA YA  INI CHANZO DALILI NA TIBA YAKE.


Ugonjwa wa ini ni ugonjwa hatari zaidi kuliko magonjwa mengine pia ini ni kiungo muhimu ndani ya mwili wa binadamu.

Ini ni kiungo maarumu kinacho saidia kuchuja sumu mbalimbali kwenye damu pindi ini linapo zidiwa na sumu na kupelekea likashindwa kufanya kazi vizuri ndipo ugonjwa hutoa matokeo yake katika mwili. 


CHANZO CHA TATIZO.


Kuna aina mbalimbali za ugonjwa wa ini na vyanzo vinavyo weza kusababisha ugonjwa wa ini na kuhatarisha maisha ya mwanadamu.

1 Unywaji wa pombe kupita kiasi.

2 Matumizi ya madawa ya kulevya.

3 Matumizi ya kuchangia sindano.

4 Utumiaji wa  vyakula hovyo vyenye kemikali nyingi.

5 Matumizi ya madawa ya kienyeji mitishamba kiholela bila utaratibu.

6 Uwekaji wa tatu kujichora mwilini.

7 Muingiliano wa maji na damu mwilini.

8 Kuongezewa damu.


DALILI ZA UGONJWA WA  INI.


1.Macho na ngozi kuwa na rangi ya njano.

2.Maumivu yasiyo ya kawaida yanayoendana na kuvimba mwili.

3.Kuvumba kwenye miguu na vifundo vya miguu (ankles)

4.Kuuma kwa ngozi.

5.Mkojo kuwa na rangi nyeusi ama giza

6.Kupata choo chenye rangi kupauka, ama kuwa na damu.

7.Uchovu mkali sana na usio wa kawaida

8.Kichefuchefu na kutapika.

9.Kukosa hamu ya kula

10.Ngozi kuchubuka kwa urahisi.


NJIA ZA KUJIKINGA NA TATIZO LA INI.


1.Punguza unywaji wa pombe

2.Jiepushe na tabia hatarishi kama kujidunga masindano, kwa kushirikiana vitu vya ncha kali, ngono zembe n.k

3.Pata chanjo ya baadhi ya maradhi ya ini kama hepatitis.

4.Ilinde ngozi yako

5.Hakikisha huna uzito wa kuzidi

6.Fanya mazoezi

7.Unapopuliza dawa za wadudu vaa kitambaa puani (mask).


MATIBABU YA UGONJWA HUU WA INI.

_______________________________________________

(Micro2 Yunzh pure and broker na detoslive) 

Hii ni packege ya dozi nzima kwaajili ya kumaliza tatizo la ini na yenye uhakika zaidi wa 100% kwa kutibu na kujikinga na tatizo la ugonjwa huo.

Yawezekana kuna ndugu yako ama niwewe mwenyewe unasumbuliwa na  tatizo la INI na unatafta suluhisho ili kuilejesha Afya yako kuwa salama.


Usihofu nitakusaidia kujinasua katika hili tatizo kupitia packege maalumu niliyo iandaa kwaajiliyako.


Jambo  muhimu na la kipekee kwako ni kuchukua hatua mapema kwa kutuma ujumbe mfupi whatsApp kupitia namba hii 0658091941.

Ni mimi rafiki yako ninae jari Afya yako na kukuonyesha njia ya kumaliza chanzo cha ugonjwa unao kunyima furaha na amani.

Chapisha Maoni

0 Maoni