TIBA ASILIA YA FANGASI SUGU WA UKE.
Ugonjwa wa fangasi ni ugonjwa ambao humpata mwanadam yeyote katika viungo tofauti. Kuna aina tofauti za maambukizi ya fangasi.
1 kunafangasi wa kichwani ambao hutambulika kama mapunye.
2 kuna fangasi wa kwenye miguu ambao huathili katika vidole vya miguuni. 3 kuna fangasi wa mdomoni ambao husababisha mdomo kutoa harufu mbaya wakati wa kuongea. 4 kuna fangasi wa kwenye damu ambao wanaweza kufikia hatua mbaya zaidi na kusababisha strock ama kichaa endapo hautapata matibabu mapema. 5 pia wapo ambao wanapatikana sehemu za viungo vya uzazi kwa mwanaume na mwanamke.
Hapa nitakufafanulia zaidi hawa fangasi wanaopatikana ukeni kwa mwanamke.
Tuone chanzo cha maambukizi ya fangasi wa kwenye uke nini kinasababisha.
VYANZO VYA FANGASI KATIKA VIUNGO VYA UZAZI VYA MWANAMKE.
1 kuwa mchafu eneo husika kunaweza kuwa chanzo cha tatizo. 2 matumizi ya virainishi marashi katika sehemu za uke.
3 matumizi ya madawa ya kupanga uzazi. 4 matumizi ya baadhi ya madawa yenye kemikali. 5 kuvurugika kwa homoni za uzazi. 6 kushuka kwa kinga ya mwili. 7 kujihusisha na ngono na mtu mwenye maambukizi ya fangasi.
DALILI ZA UGONJWA WA FANGASI.
1 kuhisi miwasho sehemu za uke. 2 kutokwa na harufu mbaya ukeni. 3 kutoka uchafu mwingi kama maziwa sehemu ya uke. 4 mdomo wa uke kuwa mwekundu. 5 joto kupanda na homa za majila ya usiku. 6 uke kulegea ama kuwa mkavu sana. 7 vipele sehemu ya uke na ngozi kuchubuka.
MADHARA YA FANGASI KATIKA VIUNGO VYA UZAZI KWA MWANAMKE.
1 kupata maumivu wakati wa kushiliki tendo la NDOA
2 kukosa kujiamini kwenye tendo la ndoa kutokana na maumivu unayo jiskia wakati wa kushiliki tendo.
3 kupoteza hamu ya kushiriki tendo la ndoa.
4 kujikuna mbele za watu muhimu. 5 kupoteza mvuto wa muonekano wako na kukosa usingizi. 6 kupungua uzito wa mwili. 7 kuvurugika kwa hedhi.
NAMNA YA KUJILINDA NA TATIZO HILI LA FANGASI WA UKE.
1 baada ya kujisafisha ama kuoga hakikisha unajikausha kwa kitambaa safi.
2 ustumie virainishi wala mafuta yoyote makali katika sehemu ya uke. 3 usikubali kunyonywa uke kwa kutumia mdomo. 4 epuka matumizi ya madawa ya kupanga uzazi.
5 ustumie vyakula na vinywaji vyenye kemikali. 6 epuka ngono zembe. 7 usivae nguo za ndani zinazoubana mwili wako.
MATIBABU YA UGONJWA WA FANGASI WA UKE.
Dawa zinazo pendekezwa na wataalamu wa afya zipo aina 3
1 creem ya kupaka kama lotion. 2 sindano
3 vidonge vya antibiotics
Tiba hizi zote hupendekezwa kwa mgonjwa kulingana na jinsi alilivyo athilika.
MATIBABU YA NYUMBANI.
1 chukua kitunguu swaumu na tangawizi mbichi uvisage kwa pamoja kisha uchanganye na mafuta ya alizeti utakuwa unapaka sehemu ya uke na kuingiza ndani ya uke.
2 tumia kupaka mafuta yaliyo changanywa ndimu na chumvi
3 chukua mafuta ya habat soda na unga wa suffa changanya na ukoroge vizuri utakuwa unapaka sehemu zilizo athilika.
USHAURI NA TIBA BINAFSI YA KUKUSAIDIA KUMALIZA TATIZO KABISA.
Yunzh feminine crences ni tiba asilia ambayo inapendekezwa kwa mwanamke yeyote mwenye changamoto ya fangasi, u.t.i, p.i.d, maumivu kipindi cha hedhi.
Hii inamaliza tatizo hata kama limesha komaa na kuwa sugu kutokana na vyanzo vya fangasi tunafahamu ni nini na tiba hizi zimeandaliwa kutokana na udhibiti wa vyanzo halisi.
1 ni aina ya vidonge ambavyo vitakuwa ni msaada mkubwa kwako kuhakikisha tatizo linafikia kikomo. Kwakuwa na uwezo mkubwa wa kupambana na athali za fangas pamoja na chanzo cha tatizo. Pia hutibu matatizo mengine kama kuondoa vimbe katika viungo vya uzazi na kupandisha kinga ya mwili. Inasawazisha homoni na kumaliza maumivu ya hedhi.
2 tiba aina hii ni aina ya mafuta ambayo hupambana zaid na bakteria na kuongeza ulinzi zaidi katika viungo vya uzazi.
Inaondoa uchafu sehemu ya uke na kumaliza miwasho.
Pia inasafisha mirija na kuubana uke.
Aina hizi zote hutumika kwa pamoja ili kuimarisha zaidi chanzo cha maambukizi na kuondoa madhara ya tatizo.
Kutokana na dhamira yangu ni kukusaidia nimeamua nitoe offer malumu kwako
Hivyo kama upo tayari kuanzia sasahivi offer hii ni kwaajiliyako badala ya kulipia sh 150,000/= lipia sh 120,000/= tu ujipatie matibabu ya kudumu usihangaike kamwe kwa tatizo la fangasi kujiludia kila wakati.
Unaweza kupiga simu ama kutuma ujumbe mfupi whatsApp kwa kutumia namba hizi. 0658091941 0782812300
DR. ELYASI MLAWIZI.
1 Maoni