Ticker

6/recent/ticker-posts

UVIMBE KWENYE KIZAZI FIBROIDS


UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS).

FIBROID NI NINI?.

Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi au nje ya ukuta wa kizazi. CHANZO CHA FIBROIDS.

Chanzo halisi cha tatizo hili bado hakijafanikiwa kuwa wazi ingawa misuli ya kizazi

(uterine trauma) huchangia hili kwa kuwa huondoa ukingo wa tabaka la ndani ya kizazi

kuelekea katika misuli ya kizazi pia utoaji wa mimba hovyo husababisha mirija

kuchubuka pia matokeo mabaya ya uwekaji wa lupu.

Ni tatizo ambalo nyama hutokea na kukua kama tabaka au ukuta mwingine juu ya

misuli ya kizazi (ectopic glandular tissues), tatizo hili huwaathiri zaidi wanawake walio kati ya miaka 35_50, Ingawa katika Hali isiyo ya kawaida hutokea katika umri wa chini ya miaka 35, tatizo hili la kuvimba kwa kizazi linapo tokea huambatana na damu nyingi wakati wa hedhi na kupata maumivu makali wakati wa hedhi. AINA ZA FIBROIDS.

Kuna aina kuu zifuatazo za fibroids: 1.Submucosal fibroids(ndani ya kizazi)

2.intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi) Subserosal(nje ya kizaz)

WATU WALIOPO HATARINI KUPATA TATIZO LA FIBROIDS.

1.Mwanamke ambae hajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa.  2.miaka kuanzia kubarehe mpaka hedhi kukoma

3.kurithi. 4. unene.  5.kuingia hedhi mapema.

Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubarehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wapo hatarini zaidi. Na mara nyingi uvimbe huu huongezeka

kukua sana hususani wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto. Ni watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids. 

DALILI ZA FIBROIDS.

1.Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi.

2.kutokwa na uchafu wenye kiaharufu mbaya au ambao hauna harufu lakini mwingi na mweupe. 3.maumivi ya kiuno hasa wakati wa hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe.  wengi hupata maumivu makali sana.  4.Tumbo kuuma sana chini ya kitovu.  5.hedhi zisizokuwa na mpangilio

6.maumivu wakati wa tendo la ndoa.  7.Kukosa hamu ya tendo la ndoa.  8.maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi

Uvimbe unapokuwa mkubwa unaweza kusababisha dalili zifuatazo.

1.Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandamiza kibofu cha mkojo

2.Mkojo kubaki kwenye kibofu cha mkojo.  3. Haja kuwa ngumu.  4. miguu kuvimba

5.kupungukiwa damu.

MADHARA YA UVIMBE KWENYE KIZAZI FIBROIDS.

Jinsi fibroids zinavyoweza kuzuia kupata mtoto:

1.Fibriods zikikua sana zinakandamiza

mishipa ya kupitisha mayai kutoka kwenye mfiko wa mayai yaani ovari.  2.Uvimbe pia unazuia yai lililorutubishwa kujishikiza kwenye

kizazi. hasa submucosal fibroids.  3.Pia huzuia mfuko wa kizazi kukaza kusukuma mbegu kwenda kwenye mishipa ya kupitisha mayai.

MATIBABU.

1.Wanawake wengi wanafibroids ndogo ndogo lakini kwa sababu hazina dalili hahawezi kwenda hospitali na hawa ndo siku wakibeba ujauzito uvimbe unaongezeka kwa sababu ya vichocheo kuongezeka hivyo hawa watu Wanabainika wanapofanyiwa ultrasoudi ndipo wanakutwa navyo.lakini kitaamu

hospitali hawatibu uvimbe wa namna hii. 2.Uvimbe ambao ni mkubwa(kama inavyoonekana kwenye picha hapo) wenyewe

hutibiwa kwa namna zifuatazo (hospital)  A.Dawa ambazo ni gharama sana mfano donazol wengi masikini hawawezi kumdu kununua.  B.Vidonge vya maumivu.  C.Vidonge vya kuzuia damu kama

tranexamic acid na dawa za uzazi wa mpango(COCs)

2.Njia ya pili ni operation nazo zipo. operation aina nyingi inategemea na uvimbe ukubwa na wingi wake.

1.Myomectomy hii ni operation ya kuondoa uvimbe mmoja mmoja bila kuondoa kizazi kwa wale wenye uvimbe mmoja uko sehemu nzuri. 2.Total abdominal hysterectomy. Hii

operation unaondoa kizazi chote kama uvimbe umekaa vibaya na viko vingi. 

USHAURI:

Wanawake wengi huwa na desturi ya kupuuza kwenda hosptal kwa kuona tatizo ni dogo hivyo ndugu rafiki hakikisha unaenda kupima Afya yako mara kwa mara ili kuweza kutambua matatizo mapema hivyo tuache tabia ya kupuuzia kitu hata kama ni kidogo.

Hata hivyo tunatoa tiba ya uvimbe aina zote bila kufanya upasuaji kwa kutumia tiba mimea ya kuyeyusha uvimbe.

Novel depile Yunzh micro2 ni mchanganyiko wa tiba aslia kabisa na imehifadhiwa kwa mfumo wa vidonge kwa kumuwezesha mtumiaji mwenye tatizo la uvimbe aweze kumeza kwa urahisi na kumaliza tatizo haraka zaidi.

Tiba hii inapatikana kwa Tz.sh 250,000/=laki mbili na hamsini tu! Kama upo tayari kuchukua Dozi hii unaweza kupiga simu kawaida ama kutuma ujumbe mfupi whatsApp kwa kutumia namba hii 0658091941.

Napatikana Tunduma mpakani mkoa wa songwe kwa wale mliopo mikoa ya mbali natuma kupitia mabasi ya mkoa na inakufikia mpaka ulipo huduma zetu ni bora na nikamiilifu hakuna kuchelewa.


Kwa maswali na ushauri zaidi coment hapa chini kwa mafanikio ya majibu ya maswali yako na kujiridhisha zaidi kuhusu Afya bora Tanzania. Dr. SANI MLAWIZI.

Chapisha Maoni

0 Maoni